Ila wakati jamaa na marafiki wa watu wenye matatizo yakucheza kamari wanapata msaada unao faa, wanakuwa na uwezo wakuwasaidia wapendwa wao kupona.
Nchini Australia, msaada unaweza patikana katika lugha yako.
Kama unahitaji msaada pigia simu mashirika haya yanayo toa msaada bure:
· National Gambling Helpline on 1800 858 858
· National Debt Helpline on 1800 007 007, or
· Lifeline on 13 11 14