Katika makala haya ya SBS Australia ya fafanuliwa, tuta tazama sehemu unaweza pata shughuli jumuishi za bei nafuu za baada ya shule.
Soka, kuogelea, densi ya ballet, kucheza piano, chess, kufanya sanaa, kupika, kucheza tennis, mchezo wa vikapu…. Hakuna kikomo kwa inapokuja kwa shughuli za baada ya shule nchini Australia.
Tunajua kuwa watoto hupata faida nyingi kwa kushiriki katika shughuli hizi. Bila shaka wanaweza jifunza ujuzi mpya ila, wanaweza boresha pia afya yao ya akili na mwili, kujiamini pamoja na ujuzi wakijamii.
Jisajili au fuata makala yaliyo rekodiwa ya Australia ya fafanuliwa, kwa habari muhimu zaidi na vidokezo kuhusu kuanza maisha yako mapya nchini Australia.
Una swali lolote au wazo la mada? Tutumie barua pepe kwa: [email protected]