Wito huo umejiri baada ya ongezeko wa uvumi kuwa Barnaby Joyce ata jiuzulu toka wadhifa huo.
Joyce ajiuzulu kama Naibu Waziri Mkuu

Naibu waziri mkuu Barnaby Joyce atangaza kuwa ame jiuzulu Source: AAP
Kiongozi wa upinzani Bill Shorten ame omba mageuzi ya fanyiwe kwa mchakato waku chagua naibu waziri mkuu katika serikali ya mseto.
Share