Kinyume chake ni Kisiwa cha Caribbean cha Barbados kilicho ondoa ufalme wa Uingereza kama kiongozi wa taifa, nakuwa jamuhuri Novemba 2021.
Kifo cha Malkia Elizabeth II akiwa na miaka 96, 8 Septemba 2022 kime zua swali kuwa: Jukumu la ufalme wa Uingereza katika Australia yakisasa ni nini?
Kama Australia inakuwa jamuhuri, tunaweza chagua kusalia ndani ya Jumuiya yamadola. Kwa mfano India imefanya pia. Kwa hiyo, jamuhuri ya Australia inaweza fananaje? Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.