Julie Bishop atastaafu uchaguzi mkuu ujao utakapo tangazwa

Mbunge wa Curtin, Julie Bishop atangaza kuwa hata wanaia uchaguzi mkuu ujao019 Federal Election in the House of Representatives at Parliament House, in Canberra, Thursday, February 21, 2019. (AAP Image/Sam Mooy) NO ARCHIVING

Mbunge wa Curtin, Julie Bishop atangaza kuwa hata wanaia uchaguzi mkuu ujao Source: AAP

Naibu waziri mkuu wa zamani na mbunge maarufu wa chama cha Liberal, Julie Bishop ametangaza kuwa anastaafu kutoka siasa.


Bi Bishop amesema hatawania kiti chake cha ubunge cha Curtin jimboni Magharibi Australia, katika uchaguzi mkuu ujao.

Bi Bishop amesema ana amini serikali ya mseto ita shinda uchaguzi mkuu wa shirikisho bila msaada wake.

Ameongezea kuwa atafanya kazi kwa bidii, kuhakikisha mgombea wa chama cha Liberal anashinda uchaguzi wakugombea eneo bunge lake la zamani.

 


Share