Wakizungumza kwa hisia nyingi, jamaa na marafiki wa Sharon, walifunguka naku eleza SBS Swahili kuhusu mpendwa wao aliye waacha ghafla.
Iwapo ungependa kuchangia katika shughuli yakumrejesha Sharon nyumbani, bonyeza hapo chini kwa maelezo kamili ya jinsi yakutoa mchango wako: