SG COMMUNITY SPORTSMichezo ya jamii sio rasmi na inajumuisha na, manufaa kwa wahamiaji wapya nchini yanaweza shangaza.
Ni mhimu kwa ustawi wa kila mtu kuendelea kushiriki katika shughuli tofauti, bila kujali kama wewe ni kijana au mzee. Ila ukubwa na kiasi cha shughuli hutofautiana kulingana na umri pamoja na hali yakimwili. Zungumza na mtaalam wa huduma ya afya, kabla yakuanza mazoezi mapya.
Kwa taarifa zaidi kuhusu jinsi yakupata klabu karibu yako, tembelea tovuti ya The Australian Sports Commission: sportaus.gov.au