Hivi ndivyo unastahili jua kuhusu michezo minne maarufu zaidi nchini Australia.
Maelezo kuhusu kanuni za michezo nchini Australia

Mlinzi wa Sydney Swans Aliir Aliir akabiliana na mchezaji wa Brisbane Lions katika mchezo wa AFL Source: AAP
Australia ni nchi yenye tamaduni ya michezo, na moja ya njia zakusisimua zakujumuika katika jamii ya Australia, nikupitia vilabu vya jamii vya michezo, ambavyo hutoa faida kubwa yaki afya na jamii kwa kila mtu anaye husika.
Share