Mkakati huo wa miaka kumi, unalenga kupunguza nusu ya uhamiaji wa jumla, wakati huo huo unawavutia wafanyakazi wenye ujuzi mwingi pamoja na wafanyakazi muhimu.
Serikali imekuwa chini ya shinikizo kuhusu mgogoro wa gharama ya maisha na, uwezo wa kumudu nyumba unazidi kuwa mbaya.
Kati ya wasiwasi huo, serikali imezindua mpango wake wa mkakati mpya wa uhamiaji.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.