Wakitangaza uamuzi wao, mahikimu watatu wa mahakama ya rufaa wame amua kuwa Rwanda haiwezi zingatiwa kama nchi ya tatu salama kwa waomba hifadhi.
Uamuzi wa mahakama umekaribishwa na makundi ya haki za binadam pamoja namashirika mengine, si tu nchini Uingereza ila kote duniani, Australia ikijumuishwa.