Mahojiano na Shujaa wa Jamii Paul Irungu

Paul Irungu na mshiriki wake Handson Nhanhanga ndani ya shamba lao Source: Paul Irungu
Katika sehemu yatatu ya makala maalum kuhusu mashujaa wa jamii, Bw Paul Irungu alifunguka kuhusu maisha yake nchini Australia na changamoto za ukame katika ukulima.
Share