Mahojiano na Shujaa wa Jamii Paul Irungu

Paul Irungu na mshiriki wake Handson Nhanhanga ndani ya shamba lao

Paul Irungu na mshiriki wake Handson Nhanhanga ndani ya shamba lao Source: Paul Irungu

Katika sehemu ya nne ya makala maalum kuhusu mashujaa wa jamii, Bw Paul Irungu alifunguka kuhusu maisha yake nchini Australia na mipango yake kwa siku za usoni katika ukulima.



Share