Mahojiano na Shujaa wa Jamii Paul Irungu

Shamba la mahindi

Shamba la mahindi Source: Pixabay

Katika sehemu yapili ya makala maalum kuhusu mashujaa wa jamii, Bw Paul Irungu alifunguka kuhusu maisha yake nchini Australia na alivyo anza shughuli za ukulima.



Share