Kama kawaida, mashabiki hao wali elekea katika uwanja wakiwa na matumaini makubwa, kwa jinsi timu yao itakavyo cheza katika michuano ya raga, ya wachezaji saba kila upande ya HSBC Sydney 7s ya 2020.
Mashabiki wa Shujaa wavunjwa moyo uwanjani

Mashabiki wa timu ya raga ya Kenya waonesha hisia zao uwanjani Source: SBS Swahili
Mashabiki wa timu ya taifa ya Kenya ya raga 'Shujaa', wanajulikana kwa jinsi wanavyo shangilia timu yao katika mashindano yakimataifa.
Share