Matokeo yakuruhusu viza yako kumalizika

Watu wasubiri nje ya kiingilio cha wasafiri katika uwanja wa ndege wa Melbourne.

Watu wasubiri nje ya kiingilio cha wasafiri katika uwanja wa ndege wakimataifa wa Melbourne, Australia. Source: AAP

Je! Nini kinaweza fanyika mtu akiwa nchini Australia na viza yake ina isha? Watu ambao wako nchini na si raia, wanaweza kamatwa nakuondolewa nchini.


Je! Unaweza fanya nini, ukijipata na viza ambayo ime isha nchini Australia?

Shirika la RACS hivi karibuni lili wasaidia wanafunzi wenye asili ya Venezuela, kuomba viza za ulinzi nchini Australia.

Msaada upo kwa wale ambao hawawezi mudu gharama za uwakilishi kisheria. Tembelea tovuti ya sbs.com.au/SettlementGuide kwa taarifa zaidi kwa makala haya.


Share