Umaarufu huo ume mpa fursa nyingi zaku alikwa ndani na nje ya bara la Afrika kutoa mafunzo na mahubiri.
Hivi karibuni alikuwa mjini Sydney, Australia katika sehemu ya ziara yake ya mafunzo na mahubiri. Alipo zungumza na SBS Swahili, Mchungaji Mgogo alifunguka kuhusu wito alio lazimika kutii kuwa Mchungaji.
Mahojiano haya yalifanikiwa kupitia juhudi za Mchungaji John Nkombera, wa kanisa la Peniel Free Pentecostal Church (PFPC) mjini Adelaide, Kusini Australia.
Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.