Miongoni mwa makundi yatakayo shiriki katika tamasha la African Music Festival ni kundi la Mwomboko kutoka Jumuiya ya wakenya wanao ishi mjini Melbourne.
Mmoja wa viongozi wa kundi hilo, Bi Maggie ali eleza SBS Swahili kuhusu maandalizi ya kundi lake pamoja na kile ambacho wapenzi wa miziki na tamaduni zaki Afrika wanastahili tarajia katika tamasha hiyo.
Kwa taarifa zaidi kuhusu kundi hilo tembelea tovuti hii: