Hata hivyo, baadhi ya raia wa nchi wanachama wa jumuiya yamadola, wame pokea sherehe hiyo kwa hisia mseto.
Katika mazungumzo maalum na SBS Swahili, baadhi yao waliweka wazi hisia zao kuhusu hafla hiyo pamoja na masaibu wanayo pitia ughaibuni licha yakuwa wanatoka katika nchi wanachama wa jumuiya yamadola.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.