Mercy 'Tumekuja huku kupata ujuzi kisha tuurudishe nyumbani Kenya"

Wakenya kwenye sherehe ya siku ya Mashujaa, mjini Sydney, NSW, Australia.jpg

Wakenya wanaendelea kuwasili nchini Australia kwa viza mbali mbali, baadhi yao wakija kama wahamiaji na wengine kama wanafunzi wakimataifa.


Asilimia kubwa ya wakenya ambao wako nchini Australia ni wanafunzi wakimataifa, ambao wanapata elimu katika taasisi mbalimbali kote nchini.

Tulipozungumza na baadhi ya wakenya hao kwenye sherehe za siku ya Mashujaa walifunguka kuhusu mipango yao pamoja na malengo yao.

Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.

Share