Vijana na watu wazima wame ikosoa serikali yao na hata kushiriki katika maandamano, yaliyo fanya serikali ibatilishe maamuzi yake.
Alipo zungumzia swala hili, Mh John Paul Mwirigi kutoka Igembe Kusini, alifunguka kuhusu msimamo wa wabunge kuunga mkono pendekezo za serikali kwa utoaji wa kandarasi za ukarabati, licha ya upinzani kutoka kwa wananchi.
Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.