Wafanyakazi wahamiaji hawa athiri ajira au mapato, ya wafanyakazi wenyeji

mfanyakazi ambaye ni mhamiaji atengeza waya za umeme ndani ya jengo Source: SBS
Kuna wastani wa wahamiaji wa muda milioni mbili hapa Australia kwa sasa, wakati uchumi ukizorota na mishahara inateteleka, uwepo wao umezidisha suala hilo kuwa la kisiasa.
Share