Ubaguzi kwa Wahamiaji

Dr Siyat Abdi and his family Source: SBS
Uchunguzi umegundua familia zaidi ya 15 za wahamiaji wanaoishi Australia hukumbana na kurudishwa makwao kila mwaka, kwa sababu mmoja wa wana familia ana ulemavu ambao hauendani na mahitaji ya uhamiaji. Makundi ya utetezi ya walemavu yanaishtaki serikali kwa kuvunja haki za binadamu na wanapeleka swala hilo Umoja wa Mataifa. Frank Mtao anatutaarifu.
Share