Tangazo hilo lime jiri wakati serikali ya shirikisho nayo imetangaza mageuzi kwa jinsi viza za uhamiaji zina fanyiwa kazi nchini Australia.
Pande zote za siasa zadokeza mageuzi, katika sera za uhamiaji nchini Australia

Kiongozi wa upinzani wa Australia Bill Shorten, ahotubia kongamano la taifa la chama chake mjini Adelaide, Kusini Australia Source: AAP
Chama cha shirikisho cha Labor kime sema kita ongeza idadi ya wakimbizi ambao Australia hupokea kila mwaka na, chama hicho kita toa msaada wa ziada wakifedha kwa umoja wa mataifa, ili shirika hilo litoa msaada kwa waomba hifadhi iwapo chama hicho kita shinda uchaguzi mkuu ujao.
Share