Pendekezo la serikali kubadili masharti ya uraia yazua mchanganyiko wa gumzo

Waziri wa uhamiaji Peter Dutton ndani ya bunge la taifa

Waziri wa uhamiaji Peter Dutton ndani ya bunge la taifa Source: AAP

Je ni rahisi kuwa raia wa Australia?


Kama sehemu ya wiki ya uraia, SBS imechunguza kwa undani, pendekezo la serikali ya shirikisho kwa mageuzi ya sheria za uraia na jinsi sheria hizo zime pokewa nchini kote.




Share