Kiongozi wa shirika hilo Bw Musoni alieleza Idhaa ya Kiswahili ya SBS, jinsi waathiriwa wa COVID-19 wanavyo faidi kutoka huduma ambazo shirika lake inatoa.
Musoni: Mradi wa GLAPD wakuwasaidia waathiriwa wa COVID-19 unaendelea

Emmanuel Musoni, kiongozi wa shirika la GLAPD International. Source: Mireille Kayeye
Shirika la GLAPD International, limewafungulia mlango wanafunzi wakimataifa na wahamiaji, ambao hawafuzu kupokea msaada kutoka serikali ya shirikisho wakati huu wa janga la COVID-19.
Share