Mwenyekiti Diaspora apasua jipu

Bupe Kyelu, Mwenyekiti Watanzania Diaspora Source: Bupe fb file
Baada ya sintofahamu kwenye Baraza la Diaspora Watanzania Duniani, hatimaye Mwenyekiti wa mpito aweka bayana kilichotokea na mustakbali wa nini yajayo katika mahojiano maalumu na SBS.
Share