Mwongozo wa makazi: Jinsi yakupata uraia wa Australia

Wahamiaji wala kiapo cha uraia wa Australia

Wahamiaji wala kiapo cha uraia wa Australia Source: SBS

Watu wengi huamua kuwa raia wa Australia.


Zaidi ya idadi ya watu milioni tano, wame pewa uraia wa Australia tangu mwaka wa 1949.

Hatua muhimu ni sherehe ambako, watu hula kiapo cha uaminifu, pamoja nakukubali haki na wajibu wakuwa raia wa Australia.

 


Share