Mwongozo wa makazi: Unyanyasaji wa kijinsia na haki zako mahali pa kazi

Unyanyasaji wakinsia kazini

Unyanyasaji wakinsia kazini Source: getty images

Kulingana na utafiti wa hivi karibuni kutoka Tume ya Haki za Binadamu ya Australia, mmoja kati ya wafanyakazi watatu wamesema walinyanyaswa kijinsia kazini miaka mitano iliyopita.


Lakini unyanyasaji wa kijinsia mahali pa kazi siyo halali na haipaswi kuvumiliwa.

Ikiwa ikitokea kwako au mtu unayemjua, kuna njia za kupata msaada.

Ili kupata maelezo zaidi juu ya unyanyasaji wa kijinsia na haki zako mahali pa kazi, tembelea Tume ya Haki za Binadamu ya Australia na tovuti ya haki za kazi ya Ombudsman, ambazo wote hutoa rasilimali kwa lugha tofauti.


Share