McCormack achaguliwa kuongoza chama cha Nationals baada yaku kabiliwa kwa changamoto kali

Naibu waziri mkuu mpya McCormack ala kiapo

Naibu waziri mkuu mpya McCormack ala kiapo Source: AAP


Mbunge Michael McCormack mwenye umri wa miaka 53 kutoka eneo bunge la Riverina, Kusini Magharibi NSW.

Ila katika hatua ya kushtukiza, Bw McCormack alipata ushindi wake baada yaku kabiliana na ushindani toka kwa mbunge kutoka Queensland George Christensen.


Share