Hata hivyo, uhalisia ni kwamba watu ambao wali zaliwa nje ya Australia, wame wakilishwa zaidi ya watu wengine katika takwimu za watu ambao wame zama majini kila mwaka.
Nchini Australia, kuogelea ni ujuzi mhimu wa maisha. Kujifunza kuogelea katika umri wowote, kunaweza kusaidia kukuzuia kuzama ila pia, ujuzi huo unaweza kusaidia kulinda familia yako naku kusaidia kushiriki kwa kujiamini katika maisha ya Australia.
Kwa taarifa zaidi kuhusu mradi wa swim for life, tembelea tovuti hizi austswim.com.au au royallifesaving.com.au.