Nini hutokea mtoto wako anapofikisha miaka 18 nchini Australia?

student group.jpg

For many in Australia, turning 18 coincides with the end of formal schooling. Credit: Getty Images/FatCamera

Je! kuwa mtu mzima kuna maanisha nini katika hali ya vitendo?


Kuanzia umri wakisheria, hadi malipo ya jamii pamoja na kufikia alama za umri, utu uzima unaweza leta mageuzi mhimu.

Ki sheria, wa Australia huzingatiwa kuwa watuwazima wanapo fikisha miaka 18.

Share