Nini maana yakukaribishwa katika nchi?

Sherehe ya Karibu katika Nchi kabla ya mechi ya Super Netball, Melbourne 2022.

Sherehe ya Karibu katika Nchi kabla ya mechi ya Super Netball, Melbourne 2022. Source: AAP Image/James Ross

Mara nyingi katika mwanzo wa tukio, huwa tunaona sherehe rasmi ya ukaribisho, inayo fanywa nawalinzi wajadi waki Aboriginal.


Sherehe hiyo ya ukaribisho, inajulikana kama ‘karibu katika nchi’.

Tunapo sherehekea wiki ya NAIDOC, makala haya ya mwongozo wa makazi yana fafanua nini maana ya sherehe ya Karibu katika nchi, na jinsi sote tunaweza kiri walinzi wa jadi kwa uaminifu.


Share