Bw Noah ni mhitimu anaye ishi mjini Adelaide ambako mwafrika wa kwanza mweusi, Bi Lucy Gichuhi alichaguliwa kuwa Seneta katika bunge la Australia.
Bruce Kamau ni mkenya aliyekuwia mjini Adelaide na amepata mafanikio mengi katika mchezo wa mpira wa miguu nchini Australia, na amekuwa mfano wakuigwa na watoto pamoja na vijana wengi katika jamii yawa Afrika wanao Australia. Katika mazungumzo maalum na Idhaa ya Kiswahili ya SBS, Bw Noah alifunguka kuhusu fahari ambayo mafanikio ya Bruce imewapa wakenya wanao ishi Adelaide.
Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.