Kuondokana na upweke katika nchi mpya

Overcoming loneliness in a new country (Getty Images) Source: Getty Images
Vizuizi vya lugha, tofauti za kitamaduni, kujitenga na familia na marafiki ni baadhi ya sababu zinazowafanya wakimbizi wengi na wanaotafuta hifadhi kupata na tatizo la upweke. Katika miji ya Sydney na Melbourne, mashirika ya wakimbizi hutoa mienendo na mipango kadhaa ya kusaidia wanaowasili wapya kupata tena hisia za jamii na kujisikia nchi mpya ni yao pia. Mwandishi wetu Frank Mtao ana maelezo zaidi.
Share