Penina aweka wazi umuhimu wakuzingatia afya yako ya akili

KCV Mental health run.jpg

Ugonjwa wa afya ya akili una endelea kuwa kero kwa watu na jumuiya nyingi kote duniani.


Viongozi wa jumuiya ya wakenya wanao ishi mjini Melbourne, Victoria wamechukua hatua yaku kabili changamoto hiyo kupitia miradi na matukio mbali mbali ambayo wanajumuiya hualikwa kushiriki.

Bi Penina ni muuguzi na mtaalam wa ugonjwa wa afya ya akili mjini Melbourne. Ali eleza SBS Swahili jinsi anavyo saidia jumuiya yake kukabiliana na changamoto hiyo.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.

Share