Peter afunguka kuhusu maandalizi ya sherehe ya Mashujaa Day Victoria

Viongozi wa Kenya Community Victoria kwenye hafla ya jumuiya yao.jpg

Wakenya kote duniani wana jumuika katika hafla za siku yaku waenzi Mashujaa wao.


Sherehe hizo zina hudhuriwa kote nchini Australia pia ambako, Bw Peter Wangengi yuko katika mustari wa mbele waku hakikisha jumuiya yawakenya wanao ishi Victoria wana chaguzi kadhaa ya matukio yaku hudhuria.

Katika mazungumzo maalum na SBS Swahili Bw Peter aliweka wazi alivyo andalia wana jumuiya wenza katika siku ya sherehe za Mashujaa wao.

Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.

Share