Ni swala muhimu ila, ni hoja ambayo nika inamaswali mengi sawa vile ina majibu mengi pia.
Wanasiasa wakutana kujadili ongezeko la watu nchini

Msongamano wa watu mtaani Source: AAP Image/Dean Lewins
Serikali ya shirikisho imekutana na weka hazina wamajimbo na mikoa, kujaribu kusaidia kutatua tatizo la kusimamia idadi ya watu nchini Australia.
Share