Waadhibiwe wanaovunja sheria, badala ya jamii nzima

Baadhi ya viongozi wa jamii zawa Afrika pamoja na polisi wa Victoria wakizungumza na vyombo vya habari mjini Melbourne, Victoria Source: AAP
SBS Swahili imezungumza na kiongozi mmoja kutoka jammy ya Waafrika wanaoishi Melbourne, kuhusu madai ya waziri wa mambo ya ndani Peter Dutton kuwa, wakazi wa Melbourne wanaogopa kutoka usiku kwa sababu ya magenge ya vijana wenye asili ya Afrika. Kiongozi huyo amefunguka kuhusu madhara ya madai ya waziri huyo kwa jamii pana ya Waafrika.
Share