Katika makala ya leo kuna:
Taarifa mpya za habari
Taarifa mpya kutoka sehemu kadhaa za bara la Afrika, mubashara kutoka studio zetu za Nairobi, Kenya.
Makala kuhusu umuhimu wakuwa na ujuzi wakuogelea nchini Australia.
Uchambuzi kuhusu masaibu yakisiasa na uchumi yanayo ikumba timu ya Chelsea FC nchini Uingereza.