SBS VIVA: Huduma ya wazee wakati wa Corona

Mtoto amsalimia babu yake kupitia kioo cha dirisha kwa sababu ya COVID-19

Mtoto amsalimia babu yake kupitia kioo cha dirisha kwa sababu ya COVID-19 Source: Getty Images

Sekta ya uangalizi kwa wazee ya Victoria inakumbana na maambukizo ambayo husababisha vifo vya watu zaidi ya 100 wakati wa janga la virusi vya corona.


Kuna la kujifunza kwa familia zenye kukata tamaa wakati wa kuzingatia makazi ya utunzaji wa wazee kwa wapendwa wako wakati wa nyakati hizi za majaribio.

Kwa taarifa zaidi juu ya chaguzi tofauti za utunzaji wa wazee, pigia My Aged Care kupitia namba 1800 200 422 au tembelea tovuti yao. Kwa ushauri wa bure na siri wa kisheria, wasiliana na Seniors Rights Service kwa namba 1800 424 079.

Ikiwa unahitaji msaada wa lugha, wasiliana na Huduma ya kitaifa ya Kutafsiri na Ukarimani kwa namba 131 450.

 

 


Share