Serikali yatoa viza mpya zauhamiaji wakikanda

Maseremala kazini

Maseremala ni miongoni mwa wafanyakazi ambao wanaweza kuja Australia kwa viza za uhamiaji wakikanda. Source: AAP

Viza mpya zimezinduliwa, kuwa hamasisha wanao hudumia wanyama mbugani, wasanifu wa majengo, wanasayansi, wanao tengeza vyuma, wapasuaji, watu wanao tengeza tiba zakitamaduni pamoja na wataalam wengine, wahamie katika maeneo yakikanda.


Sheria za viza hiyo mpya yakandani zina maana wahamiaji lazima waishi katika maeneo yakikanda ya Australia, kwa angalau miaka mitatu kabla yakuwasilisha ombli lao la viza yakudumu nchini.

Maafikiano sababa ya uhamiaji yametiwa saini, yakijumuisha maeneo yakikanda nchini kote, kukabiliana na mahitaji halisi ya wahamiaji. Wakati huo huo, serikali ya shirikisho imetuma timu yama afisa wamikoa, kutoa msaada kwa waajiri wakikanda.

Unaweza pata orodha kamili ya kazi zinazostahiki, kwenye tovuti ya idara ya maswala ya nyumbani.


Share