Mwongozo wa Makazi: Upatikanaji wa huduma za afya ya akili ni muhimu kwa wakimbizi

Familia ya wakimbizi

Familia ya wakimbizi Source: Picha: Getty Images


Mara nyingi huwa wana kimbia vita, na mateso.

Ni muhimu kuhakikisha wana pokea msaada wa matibabu ya afya, huduma za afya ya akili ziki jumuishwa wanapo anza maisha yao mapya nchini.

Hata hivyo, mfumo wa afya wa Australia, unaweza zua changamoto mpya kwa wahusika.

 

 


Share