Mwongozo wa makazi: Mfumo wa siasa ya Australia

Kikao cha nyumba ya wawakilishi katika bunge la taifa mjini, Canberra, Australia Source: AAP
Uchaguzi mkuu wa Australia wa 2019 unakaribia, ambako tuta wachagua watakao hudumu katika bunge la 46 la Australia.
Share