Mwandishi wetu FRANK MTAO anaelezea jinsi ya kufanya, kutoka katika hali mbaya.
Mwongozo wa Makazi: Jinsi ya kuepuka mkanganyo baada ya ajali barabarani Australia
Ajali barabarani Source: Picha: Getty
Haijalishi ni ajali kubwa ama mchubuko kidogo wa gari, kuna sheria kali kuhusu lakufanya baada ya ajali kutokea.
Share