Mwongozo wa Makazi: Kuboresha uhusiano kati ya jamii na polisi

Walio shiriki katika mradi wa 'Coffee with a cop'

Walio shiriki katika mradi wa 'Coffee with a cop' Source: Picha: SBS/Wolfgang Mueller

Kama nikutoa taarifa kuhusu tuhuma, au kusimamishwa ukiendesha gari kwa ajili ya uchunguzi iwapo unaendesha gari ukiwa ume kunywa pombe, wengi wetu tuta kutana na polisi katika maisha ya kila siku.


Kwa baadhi ya wahamiaji wapya huenda uzoefu huo ukawapa uoga, nakuwakumbusha rushwa au udhalimu katika nchi zao za asili.

Lengo la mradi mpya kwa jina la kunywa kahawa na polisi niku jaribu kuondoa chuki dhidi ya polisi.

 

 


Share