Chini ya mkataba wa shirika la umoja wa mataifa kwa haki za watoto, watoto wote wanapashwa kuwa na haki sawa, kukuwa nakupata elimu, matibabu nakuwa salama.
Hata hivyo, vikundi vya watetezi wa watoto vina amini kuwa Australia, bado ina safari ndefu katika swala hilo.
Kwa taarifa ya ziada kuhusu haki za watoto nchini Australia, tafuta ushauri kutoka kwa kituo cha msaada wa sheria unako ishi. Kwa msaada wakihemko, wasiliana na shirika la Kidsline katika namba hii: 1800 55 1800, Lifeline 13 11 14, au pigia simu namba ya dharura 000 kama wewe au mtu unaye jua yuko hatarini.