Mwongozo wa Makazi: Unyanyasaji wa Wazee ndani ya familia

Unyanyasaji wa wazee

Unyanyasaji wa wazee Source: Picha: AAP

Tunaweza tusisikie kuhusu unyanyasaji wa wazee mara kwa mara lakini serikaliinaamini kuwa hadi asilimia umi ya wazee wa Australia wanahangaika na unyanyasaji kila mwaka.


Mara nyingi ni vigumu kwa Wazee kutoka jamii zawa hamiaji, ambao wanakutana na vikwazo zaidi likija swala la kutoa taarifa za unyanyasaji.

Hata hivyo, kuna njia za kupata msaada

 

 


Share