Mwongozo wa makazi: Mafunzo yakiingereza bila malipo kwa wahamiaji

Wanafunzi darasani

Wanafunzi darasani Source: AAP


Serikali ya shirikisho huhimiza elimu yawatu wazima nchini kote, hususan kwa wahamiaji na wakimbizi wapya nchini ambao kiingereza si lugha yao ya kwanza.

Hata hivyo kuna miradi mingi nchini kote, yaku funza kiingereza bila malipo.

 

 


Share