Mwongozo wa Makazi:Madarasa ya bure ya kujifunza lugha ya kiingereza kuwasaidia wahamiaji kupata kazi Australia

Wanafunzi katika shule ya watu wazima

Wanafunzi katika shule ya watu wazima Source: Getty Images


Lakini wafanyakazi wengi wanahitajika kuweza kuongea na kuandika kiingereza vizuri.

Wahamiaji wanaweza kupata masomo ya lugha hiyo bure ili wajifunze msingi wa lugha hiyo au kuongeza ujuzi walugha ili kuweza kupata kazi.

Ili kupata maelezo zaidi juu ya mpango wa Kiingereza kwa wahamiaji watu wazima na vipindi vya ufanisi wa elimu na ajira, na uangalie kama unafaa , nenda kwenye tovuti ya serikali ya Australia.

Na kupata mtoa huduma ya watu wazima karibu na wewe. angalia kwenye tovuti ya watu wazima wa Australia.

Viungo muhimu:

Reading Writing Hotline 1300 6 555 06

Adult Learners Week 1-8 September

AMES Australia - migrant and refugee settlement services

Adult Learning Australia


Share