Je bajeti mpya ya serikali inaweza wasaida wenye mapato ya chini, wakimbizi na wahamiaji wapya ambao wako kwenye orodha ya wanao subiri nyumba za umma?
Mwongozo wa Makazi: Wasiwasi waongezeka kuhusu uwezo wakumiliki nyumba
mchoro wa nyumba Source: Picha: Martin Barraud/OJO Images
Wasi wasi imeongezeka sana katika umma kuhusu uwezo waku miliki nyumba.
Share